tag:blogger.com,1999:blog-17223347.post112911669232087041..comments2023-11-03T05:27:24.363-07:00Comments on Kaa tuzungumze: Makosa na usahaulifu.mloyihttp://www.blogger.com/profile/09380827217064136910noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-17223347.post-1135322905177880822005-12-22T23:28:00.000-08:002005-12-22T23:28:00.000-08:00bwana mloyi,labda nianze kuzungumzia hili la ANC. ...bwana mloyi,<BR/><BR/>labda nianze kuzungumzia hili la ANC. ndani ya ANC kuna muungano. bila muungano chama hakina nguvu. wanaiotwa triplate alliance. kuna COSATU - wafanyakazi, SACP chama cha kikomunisti na ANC yenyewe! hawa ndio wamempa mbeki nguvu na hutetemeka sana akisikia kuna ufa! naupenda sana utendaji wa ANC kwani unasikia haraka sana mambo yanayoyahusu makundi hayo! sio kama tanzania mseme msiseme chama cha nyerere kinapeta! Afrika kusini wamejifunza mengi toka kwetu hivyo raisi wake ana mrengo wa kulia! huyu anapigamia kuwa na uchumi dhabiti, bila kukosana na wawekezaji na wakati huo huo kunyanyua hali za maisha ya weusi kwa ule mpango wa Black Economic Empowernment! ninaweza kusema amefanikiwa japo mabadiliko hayaji kwa usiku mmoja, ni namba nzuri tu ya weusi ambao wanaendelea kunyanyuka siku hadi siku, Tatizo la waafrika wengine na hasa wale wenye fikra za ukombozi ili wawe wakubwa na sio ukombozi dhidi ya umasikini ndio wanatesa watu wao kila kukicha - mfano mugabe. kazi kubwa ambayo ndio unaiona ndani ya ANC ni kuweka uwiano kati ya uchumi na maendeleo. kwa sasa inaendelea vyema, japokuwa utakuta kuna kundi lenye mrengo wa kushoto (wasiotaka maridhiano)- la akina Zuma lilitaka kuwa na nguvu lakingi tunashukuru wameweza kubalance mambo!FOSEWERD Initiativeshttps://www.blogger.com/profile/11703868842246600590noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17223347.post-1132750781015351002005-11-23T04:59:00.000-08:002005-11-23T04:59:00.000-08:00Umeishia wapi????Umeishia wapi????Ndesanjo Machahttps://www.blogger.com/profile/07352488691397212582noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17223347.post-1131859154676949802005-11-12T21:19:00.000-08:002005-11-12T21:19:00.000-08:00Kuna suala la dhamira, na hili nadhani ndio msingi...Kuna suala la dhamira, na hili nadhani ndio msingi mkubwa wa kila jambo duniani. Kila jambo linaanzishwa mwanzishaji akiwa na dhamira. Je, Nyerere alikuwa na dhamira ya kuona Watanzania tunaurejea utumwa kwa mlango wa nyuma?, hakika hapana ila kuna watu walimsaliti, na kwasababu hatuna hulka ya kunyoosheana vidole, ndio maana yanatukuta haya ya sasaRama Msangihttps://www.blogger.com/profile/08286872896038150882noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17223347.post-1129537334441136512005-10-17T01:22:00.000-07:002005-10-17T01:22:00.000-07:00nakushukuru kwa kazi nzuri. Umeanza vizuri na kazi...nakushukuru kwa kazi nzuri. Umeanza vizuri na kazi hii ni ya kujituma haina malipo lakini inaridhisha moyo endapo utaiendeleza. Karibu sana. Viti mimi naviona, asiyeviona ana dhambi.Reggy'shttps://www.blogger.com/profile/16248284745877706720noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17223347.post-1129519282988885172005-10-16T20:21:00.000-07:002005-10-16T20:21:00.000-07:00Mloyi, umesoma hoja za Fide kufuatia hoja yako kuw...Mloyi, umesoma hoja za Fide kufuatia hoja yako kuwa sisi makabwela hatulipi kodi hivyo sio ajabu ndege ya sirikali ikibeba maiti za watoto wa matajiri?Ndesanjo Machahttps://www.blogger.com/profile/07352488691397212582noreply@blogger.com