Kibarazani watu wanakaa kuzungumza.
Kwenye kibaraza hiki moto unawaka
Hauunguzi watu, bali wale wanaoleta uwongo na kuvuruga watu. Moto huu hautazimika kabisa.
Tuesday, May 23, 2006
Mkaribisheni mgeni.
Kamala Godwin amependezewa na blogu zinavyofanya kazi, ameamua kujiunga kwenye mtandao huu, yeye anapatikana hapa mtembeleeni.
Tunamkaribisha sana ndugu yetu Godwin aingie katika media hii ya aina yake iliyopiga hatua kubwa na kwamba tu asije akawa mvivu kama washikaji wengine walioingia katika uga na kisha kutokomea wakati tunahitaji sana mchango wao wa mawazo.
Mloyi,
ReplyDeleteTunamkaribisha sana ndugu yetu Godwin aingie katika media hii ya aina yake iliyopiga hatua kubwa na kwamba tu asije akawa mvivu kama washikaji wengine walioingia katika uga na kisha kutokomea wakati tunahitaji sana mchango wao wa mawazo.
Hata mimi sasa nadhani alikuwa mzushi tuu. \lakini bado tumpe muda.
ReplyDeleteMloyi, mgeni wetu Kamala, kapotelea wapi?
ReplyDeleteSijui, huwa namuona mjini anasema yuko bize sana.
ReplyDeleteNitamuuliza vizuri. lakini labda mimi ndio nina mkosi.
ReplyDeleteThanx for sharing ilike your book