Kibarazani watu wanakaa kuzungumza. Kwenye kibaraza hiki moto unawaka Hauunguzi watu, bali wale wanaoleta uwongo na kuvuruga watu. Moto huu hautazimika kabisa.