Thursday, May 04, 2006

Moto moto moto kila mahali ....

Nimejaribukuweka tena viunganishi nilivyokuwa nimekosea kama mlivyonishauri na sasa viko fiti kwa kufanyiwa tizi. Angalia nakala iliyopita ya blogu kila mahali ujionee ilivyo.
Picha pia zimeanza kuonekana unaweza kuona nyingi zaidi kwenye flickr Lakini hii isimtishe Michuzi kwamba staili yake imeingiliwa na kupikuliwa, bali imehamasisha blogu nyingine zaidi. sijui Mpoki Bukuku alihamasishwa kwa muda tuu!( just a passing glance) Motowaka hata "share a moment" na michuzi ataishi pale.

1 comment:

tamba said...

Mambo?
Mi naona unachotakiwa kufanya ni bidii katika kusoma na kutoa maoni kwenye blogu za wenzako ili nawe wakupe maoni yao. Blogu yako ni nzuri nimeipenda. Big Up.