Tuesday, May 23, 2006

Mkaribisheni mgeni.

Kamala Godwin amependezewa na blogu zinavyofanya kazi, ameamua kujiunga kwenye mtandao huu, yeye anapatikana hapa mtembeleeni.

5 comments:

charahani said...

Mloyi,

Tunamkaribisha sana ndugu yetu Godwin aingie katika media hii ya aina yake iliyopiga hatua kubwa na kwamba tu asije akawa mvivu kama washikaji wengine walioingia katika uga na kisha kutokomea wakati tunahitaji sana mchango wao wa mawazo.

mloyi said...

Hata mimi sasa nadhani alikuwa mzushi tuu. \lakini bado tumpe muda.

Ndesanjo Macha said...

Mloyi, mgeni wetu Kamala, kapotelea wapi?

mloyi said...

Sijui, huwa namuona mjini anasema yuko bize sana.
Nitamuuliza vizuri. lakini labda mimi ndio nina mkosi.

obat vimax said...


Thanx for sharing ilike your book