Thursday, May 04, 2006

8 comments:

Boniphace Makene said...

Si unaona afadhali sasa tunamuona Motowaka huyu moto kwelikweli anayetisha watu kuweka picha za vimwana katika Flirck. Safi sana hii tukikutana kule Temeke ninapokaa hatuwezi tena kupitana.

mloyi said...

Umeona sasa mwanakasri! najua sio kama ulivyotarajia.
Tatizo kidogo. nikiingia moja kwa moja kwa kuandika anuani yangu sioni hizi nakala mpya, ila zile za zamani tu lakini sasa nimeingilia dirishani kupitia nyumbani kwako nimezikuta. Sijui inakuwaje? Labda nina vibaraza viwili?
Kuna kitu nilishindwa kumalizia jana nitajitahidi kuboresha zaidi wiki ijayo.

mwandani said...

Motowaka umekuwa mtu mzima sana sasa

Ndesanjo Macha said...

Motowaka, safi umetuwekea picha tukuone...labda wasiokujua wakujue. Jah!...malizia...

Jeff Msangi said...

Poa sana,
Hii ni ili tusije tukapishana kwenye viti virefu bila angalau kununuliana moja baridi.

Jeff Msangi said...

Hivi ina maana zile dreadlocks umezikata au?

Jeff Msangi said...

Hivi ina maana zile dreadlocks umezikata au?

mloyi said...

Jeff Msangi hilo ni swali gumu sana kulijibu.