Kibarazani watu wanakaa kuzungumza.
Kwenye kibaraza hiki moto unawaka
Hauunguzi watu, bali wale wanaoleta uwongo na kuvuruga watu. Moto huu hautazimika kabisa.
Si unaona afadhali sasa tunamuona Motowaka huyu moto kwelikweli anayetisha watu kuweka picha za vimwana katika Flirck. Safi sana hii tukikutana kule Temeke ninapokaa hatuwezi tena kupitana.
Umeona sasa mwanakasri! najua sio kama ulivyotarajia. Tatizo kidogo. nikiingia moja kwa moja kwa kuandika anuani yangu sioni hizi nakala mpya, ila zile za zamani tu lakini sasa nimeingilia dirishani kupitia nyumbani kwako nimezikuta. Sijui inakuwaje? Labda nina vibaraza viwili? Kuna kitu nilishindwa kumalizia jana nitajitahidi kuboresha zaidi wiki ijayo.
8 comments:
Si unaona afadhali sasa tunamuona Motowaka huyu moto kwelikweli anayetisha watu kuweka picha za vimwana katika Flirck. Safi sana hii tukikutana kule Temeke ninapokaa hatuwezi tena kupitana.
Umeona sasa mwanakasri! najua sio kama ulivyotarajia.
Tatizo kidogo. nikiingia moja kwa moja kwa kuandika anuani yangu sioni hizi nakala mpya, ila zile za zamani tu lakini sasa nimeingilia dirishani kupitia nyumbani kwako nimezikuta. Sijui inakuwaje? Labda nina vibaraza viwili?
Kuna kitu nilishindwa kumalizia jana nitajitahidi kuboresha zaidi wiki ijayo.
Motowaka umekuwa mtu mzima sana sasa
Motowaka, safi umetuwekea picha tukuone...labda wasiokujua wakujue. Jah!...malizia...
Poa sana,
Hii ni ili tusije tukapishana kwenye viti virefu bila angalau kununuliana moja baridi.
Hivi ina maana zile dreadlocks umezikata au?
Hivi ina maana zile dreadlocks umezikata au?
Jeff Msangi hilo ni swali gumu sana kulijibu.
Post a Comment